News and Events Change View → Listing

Ambassador Dr. Abdallah Saleh Possi Presenting his Letters of Credence to the President of Romania

Ambassador Dr. Abdallah Saleh Possi Presenting his Letters of Credence to the President of Romania

Ambassador Dr. Abdallah Saleh Possi officially presenting his Letters of Credence to the President of Romania His Excellency Mr. Klaus Lohannis. The event took place on 18th July 2018 in the Presidential…

Read More

Balozi Dkt. Possi Akutana na Wafanyabishara wa Poland Wenye Nia ya Kuwekeza Tanzania Jijini Warsaw

Mnamo April  24, 2018  Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, ambaye pia anaiwakilisha Tanzania nchini Poland, Dr. Abdallah Saleh Possi, alikutana na wadau mbalimbali wa uwekezaji katika mkutano wa…

Read More

Balozi Dkt. Possi awasilisha Hati za Utambulisho kwa Baba Mtakatifu Papa Francis

Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani ambaye anawakilisha pia na Vatican, Mhe. Dkt. Abdallah Saleh Possi, akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Baba Mtakatifu Papa Francis, Vatican tarehe 17 Mei 2018. Kabla…

Read More

Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Kituo cha Uwekezaji Tanzania Wakaribisha Wawekezaji

MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC) Geoffrey Mwambe ameongoza msafara wa Tanzania kwenda Ujerumani kushiriki Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya nchi za Afrika Mashariki na…

Read More
The office is headed by Dr. Jennifer Schwarz and will offer a broad range of services to Tanzanian and German companies.

AHK opens office in Dar to boost German-Tanzanian business, investment

To promote and facilitate business relations between Germany and Tanzania, the Association of German Chambers of Commerce and Industry (DIHK), has officially opened an office in Dar es Salaam under the name of…

Read More
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa iSatech water Berlin,Mr  Emmanuel Mey, Balozi wa Tanzania Ujerumani  Mh Balozi DKt. Abdallah  Possi, Mwakilishi wa Kampuni ya iSATECH Water Tanzania Bw.  Peter Kazaura na Bi. Hanna Jass kutoka iSatech water Berlin.

Uongozi wa Kampuni ya Isatech ya Ujerumani Watembelea Ubalozi wa Tanzania Mjini Berlin

Kampuni ya isatech Water  Watengenezaji wa mita za maji za kutumia LUKU kwa ajili ya matumizi mbali mbali kama Water Kiosk kwa matumizi ya community , Domestic meter kwa makazi na  meter kubwa kwa…

Read More

Balozi Possi Akabidhi Hati za Utambulisho Nchini Austria

Mheshimiwa Dkt. Abdallah Possi, Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani ambaye pia anaiwakilisha nchi huko Austria akiwasili katika Ikulu ya Vienna tayari kwa kujitambulisha rasmi nchini humo kwa kukabidhi hati za…

Read More

18 Germany firms explore investment opportunities in Dar

A delegation of 15 Germany companies are in the country to explore business opportunities in infrastructure, education, technology, machinery and energy (oil, gas and hydropower). The business delegation met…

Read More