Aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Philip Marmo ameagwa rasmi jana na viongozi wa Vatican, balozi huyo aliyekuwa na makazi yake jijini Berlin, alikuwa anahudumu nchi 10 na nafasi yake hivi sasa
itashikiliwa na balozi Abdalah Possi ambaye aliapishwa jana na Rais Dk John Magufuli.

Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani aliyemaliza muda wake, mheshimiwa Philip Sanka Marmo ambaye alikuwa anahudumia nchi 10 ikiwemo Vatican, akiagana na Baba Mtakatifu Papa Francis jana baada ya kustaafu utumishi wake, (kulia) ni mke wake mama Nuruana Marmo.

Baba Mtakatifu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis akimpa zawadi mama Nuruana Marmo, mke wa Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, balozi.Philip Marmo aliyemaliza muda wake ambaye alikuwa anahudumia nchi 10 ikiwemo Vatican, mama Nuruana Marmo, wakati walipofika jana kwa ajili ya kumuaga Papa.

Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani aliyemaliza muda wake Philip Marmo akiagana jana na Mkuu wa Utawala, Vatican (Secretary of State), Mhadhama Kardinali Pietro Parolin, balozi Marmo alikuwa anatumikia
nchi 10 ikiwemo Vatican.

Balozi Philip Marmo akiagana na Mkuu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano na Mataifa (Secretary for Foreign Relations with States), Askofu Mkuu Paul Callagher, alipofika jana kuagana na viongozi wa Vatican, balozi Marmo ambaye alikuwa na makazi yake jijini Berlin nchini Ujerumani alikuwa anahudumia nchi 10 ikiwemo Vatican.

  • Baba Mtakatifu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis akimpa zawadi mama Nuruana Marmo, mke wa Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, balozi Philip Marmo aliyemaliza muda wake ambaye alikuwa anahudumia nchi 10 ikiwemo Vatican, mama Nuruana Marmo, wakati walipofika jana kwa ajili ya kumuaga Papa.
  • Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani aliyemaliza muda wake Philip Marmo akiagana jana na Mkuu wa Utawala, Vatican (Secretary of State), Mhadhama Kardinali Pietro Parolin, balozi Marmo alikuwa anatumikia nchi 10 ikiwemo Vatican.
  • Balozi Philip Marmo akiagana na Mkuu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano na Mataifa (Secretary for Foreign Relations with States), Askofu Mkuu Paul Callagher, alipofika jana kuagana na viongozi wa Vatican, balozi Marmo ambaye alikuwa na makazi yake jijini Berlin nchini Ujerumani alikuwa anahudumia nchi 10 ikiwemo Vatican.