News and Events Change View → Listing

Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Dr. Abdallah Saleh Possi awasilisha Hati zake za Utambulisho

Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Dr. Abdallah Saleh Possi awasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Rais Dr. Frank-Walter Steinmeier jijini BerlinBalozi wa Tanzania nchini Ujerumani Dr. Abdallah Saleh Possi…

Read More

Ngoma Africa Band Yamtakia Kila la Heri Balozi Philip Marmo, Yamkaribisha Balozi Dkt. Abdallah Possi

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya The Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni yenye makao yake nchini Ujerumani imemtakia kila la heri balozi wa Tanzania nchini ujerumani anayemaliza muda wake Mhe.…

Read More

Balozi Philip Sanka Marmo Aagwa na Baba Mtakatifu Papa Francis Baada ya Kumaliza Muda Wake

Aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Philip Marmo ameagwa rasmi jana na viongozi wa Vatican, balozi huyo aliyekuwa na makazi yake jijini Berlin, alikuwa anahudumu nchi 10 na nafasi yake hivi…

Read More

Notice to travellers planning to visit Tanzania

The United Republic of Tanzania – Vice President’s OfficeThe Government of Tanzania wishes to make an official note to travellers planning to visit Tanzania that from 1st June 2019 all plastic carrier…

Read More

Tanzanian ambassadors join efforts to promote tourism through Kilimanjaro expedition

Tanzanian ambassadors abroad have launched their annual Kilimanjaro expedition in a bid to promote tourism sector in the country. The Minister for Foreign Affairs and International Co-operation Hon. Bernard…

Read More

Kongamano la Diaspora 13-15 Agosti, 2015

Kwa Watanzania woteKONGAMANO LA DIASPORA (DIASPORA INVESTMENT CONFERENCE) KUANZIA TAREHE 13 HADI 15 AGOSTI, 2015, DAR ES SALAAM, TANZANIATafadhali rejea somo tajwa hapo juu.Ubalozi unapenda kukufahamisha kuwa…

Read More

Uwezeshwaji wa vijana wenye vipaji maalumu

Kwa Watanzania woteKUKUSANYA MAONI KWA AJILI YA KUBORESHA MPANGO MAKAKATI WA KUWAWEZESHA VIJANA WENYE VIPAJI MAALUMUbalozi umepokea barua ya maombi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ya…

Read More

Kongamano la Biashara na Siku ya Mdahalo, 25-26/04/2014 Berlin

 KARIBUNI WOTEKama mnavyofahamu kuwa siku ya tarehe 26 Aprili, 2014 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatimiza miaka hamsini (50), kwa lugha nyingine ni “Golden Jubilee”.Katika kuadhimisha sherehe hii…

Read More