Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Dkt. Possi akitoa hotuba ya ufunguzi wa Tamasha la Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Koloni nchini Ujerumani
Balozi Dkt. Possi akikabidhi zawadi kwa wanafunzi wa lugha ya Kiswahili waliosoma riwaya, kughani mashairi na kuigiza tamthiliya katika Tamasha la Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Koloni.